Iwe giza baridi na upepo Iwe kuna mawingu na minyesho Your body, baby joto (joto) Unafanya nijihisi special Unanipa sababu ya uwepo Kando yako we mtoto
My desire we nipe dawa mi mahututi Sijielewi, ooh, my God Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni wewe
Nakupenda we Nakutaka we Kwako sijiwezi Ooh, my love
Mpenzi we Roho yangu we Kwako sijiwezi Ooh, my love
Akili mwili baby Hasira zangu navituliza Ukiongea nasikiliza Yote sababu ya upendo Pili pili baby
Vindimu chumvi ya kunyunyiza Yani uroda kupitiliza Nimeumaliza mwendo Kiukweli napendwa nachanganywa Na haya ma raha
Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni, wewe Nakupenda we (anhaa) Nakutaka we (oh, nana, nana) Kwako sijiwezi
Ooh, my love (ooh, my baby) Mpenzi we (oh, no, no, no) Roho yangu we (ah, yayaya) Kwako sijiwezi Ooh, my love